HAKIKA USOMAJI WA DUA UNAJIBU.
HAKIKA UTOWAJI WA SADAKA UNAZIDISHA UMRI.
HAKIKA KATIKA QURANI KUNA KILA AINA YA TIBA.
HAKIKA MWENYE KUACHA KULA NYAMA KWA MUDA WA SIKU 40 ANAKUA NA TABIA MBAYA.
HAKIKA MWENYE KUPUNGUZA KUCHA SIKU YA IJUMAA ALLAH ATATOA NDANI YAKE DAWA NA KUWEKA NDANI YAKE PONYO.
HAKIKA MWENYE KUWA NA MTOTO WA KIKE ALLAH ATAMJAALIA KUWA KINGA YAKE KUTOKANA NA MOTO.
NDUGU MSOMAJI MANENO HAYA SI GANO ZA KALE AU MANENO YA MTU BINAFSI LA HASHA BALI MANENO HAYA NI TIJA YA HADITH ZA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD(S.A.W.W).